Enjoy Lyrics
Start of the Lyrics
S2kizzy Baby !!
Hii Leo,
Acha Tu Niwaweke Wazi..
Mubaki Na Mishangao,
Kuhusu Haya Mapenzi..
Nataka Kuyaeleza..
Na Leo,
Tena Wahiteni Paparazi..
Warushe Kwa Mitandao,
Siyataki Mapenzi..
Nataka Jipongeza..
Unaemwita Your Baby,
Kumbe Nae Ana Baby..
Ooh Unaemwona Kipenzi,
Ni Mshenzi Hakupendi..
Unaemwita Your Baby,
Kumbe Nae Ana Baby..
Ooh Unaemwona Kipenzi,
Ni Mshenzi Hakupendi..
Bora Ni Enjoy, (Mmmmmh)
Maisha Mafupi Ni Simple..
Yanini Niteseke Roho,
Jiunge Nami Upoze Koo..
Bora Ni Enjoy,
Maisha Mafupi Ni Simple..
Yanini Niteseke Roho, (Ooh Yanini Yanini)
Jiunge Nami Upoze Koo.. (Mmmh, Khoo Khoo Khoo Khoo)
Kama Kupendaaa,
Bora Nimpende Mama Yangu.. (Mmmh)
Kama Kupendwaa Mimi Iih,
Nitajipenda Peke Yangu.. (Ooooh)
Kilichoniponza Ufala,
Kujiona Simba Kumbe Swala..
Nikazama Kwenye Penzi Uchwala,
Badala Ya Kusaka Miamala..
Aiii Yooooooo Oh
Toka Ni Date Pesa, (Enhee)
Sa Napendeza.. (Enhee)
Na Tena Naenjoy, (Enhee)
Na Wanangu Ma Homeboy.. (Enhee)
Ooooh Account Inasoma, (Enhee)
Na Kamwili Kananona.. (Enhee)
We Mwenyewe Si Unaona Yani, (Enhee)
Ai Nasema Boraaaa..